Inicio > Term: matokeo ya kusoma/kufunzwa
matokeo ya kusoma/kufunzwa
Kauli zinazoonyesha matokeo baada ya shughuli za kusoma kwa mwanafunzi; aghalabu huandikwa kutokana na kile mwanafunzi anaweza kufanya baada kipindi cha shughuli ya kusoma.
- Parte del discurso: noun
- Industria/ámbito: Educación
- Categoría: Enseñanza
- Company: Teachnology
0
Creador
- Jonah Ondieki
- 100% positive feedback
(Nairobi, Kenya)