- Industria: Education
- Number of terms: 10095
- Number of blossaries: 1
- Company Profile:
Ni hali inayoweza kuonekana au utenda-kazi wa viungo baada ya kuzoea au kusoma.
Industry:Education
Michakato ya ndani au nje ya kuhakikisha ubora wa kifaa au taasisi kudumisha kiwango kinachotakiwa.
Industry:Education
Ni rekodi ya kuandikwa, ama ya ubora au ya kipimo ya mafanikio ya mwanafunzi katika kipindi fulani cha masomo.
Industry:Education
Tathmini ya uelewa inakusudia kubaini ukuaji wa wanafunzi na hali yake ya sasa ya ujuzi na stadi.
Industry:Education
Stakabadhi ambazo zinatambulisha hali ya sasa na mipango ya siku za usoni za mtu binafsi ili kuafikia lengo lake la kitaaluma.
Industry:Education
Mwalimu ambaye hutoa mafunzo kwa mwanafunzi mmoja kwa wakati mmoja.
Industry:Education
Maswali yasokuwa na majibu yalowekwa awali na yanampa nafasi anayejibu kuunda na kutoa jibu lake la kibinafsi.
Industry:Education
Une forme de messages livrés sur un réseau d'ordinateurs des communications ; généralement, ces messages sont texte mais peuvent inclure des images et des liens hypertexte.
Industry:Education
Ni jaribio la kuwapa wanafunzi mandhari ambapo wanatiwa motisha kusoma; inaweza kuafikiwa kwa njia mbali mbali kama vile kuwahimiza wanafunzi kuwajibikia kusoma kwao, kuhusishwa katika kuteua mada za kusoma au mpangilio wa vipindi.
Industry:Education